Diamond D - Moyo wangu lyrics

[Diamond D - Moyo wangu lyrics]

Moyo wangumoyo wangu mama
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa!
Moyo wangu, Moyo wangu mama
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa

Upole wangu simanzi Eeeh!
Kwangu kupenda maradhi iiih!
Lakini kupendwaga mi nae bahati huwaga sina
Jichoni kwangu kibanzi Eeeeh!
Ninakapenda kamanzi Iiih!
Oooh Licha ya kumthamini kama shilingi
Tatizo hata raha sina ufinyu wa mboni zangu
Unatazama mengi yanayonipa mateso
Ukweli hatakupenda sina raha! ona
Nakonda kwa mawazo
Masikini penzi langu jina lishakatwa na
Kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara Eeeh! Mara
Iiiiii! Hata najuta kupenda

Moyo wangumoyo wangu mama
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa!
Moyo wangu, Moyo wangu mama
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa

Nikutwa kucha maneno
Kosa si kosa maneno ilimradi
Tu karaha tantalila! (Sina raha)
Ona sina tena mipango (aah ho aah)
Kutwa nzima nnamawazo jina Mh!
A-a-a-h! Sina raha Oooh! mama
Tamu ya wali ni nazi Eeeh!
Raha ya supu mandazi iiih!
Raha yangu me kupendwa tu
Naye lakini nyota sina
Laana napata na radhi Eeeh!
Nawakufuru wazazi iii!
Kwakung`ang`ana me kutaka kuwa nae
Lakini bahati sina! Masikini roho yangu
(roho yanguu) ingelikuwa ni
Nguo ningempa avae
Kkila kona akipita wamsifie ila
Lakini ni kikwazo
Masikini penzi langu jina lishakatwa na
Kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara Eeeh! Mara
Iiiiii! Hata najuta kupenda

Moyo wangumoyo wangu mama
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa!
Moyo wangu, Moyo wangu mama
Moyo wangu mimi umeniponza mamaa

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret