Diamond D - Mawazo lyrics

[Diamond D - Mawazo lyrics]

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata
Pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku
Silali mapenzi kwangu kikwazo

Sikujua mapenzi balaa tena ni
Maladhi ya moyo kupendaga
Tena mapenzi karaha yanajenga chuki
Na choyo kwenye kava
Utu wangu unathamani inamaana
Kweli hakuvijua!
Licha ya burudani namapenzi yangu akayatimua
Utu wangu unathamani inamaana kweli havijuaa!
Mmmh! Licha ya burudani
Ndani akaamua kutimuaah! (Inauma sana)

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata
Pombe ili nipunguze mawazo
Maana mchana kutwa hata usiku
Silali mapenzi kwangu kikwazo
(rudia kuimba mara mbili)

Ona jini kisirani kaingia kwenye
Utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani naumia nalia na moyo wangu
Ona jini kisirani kaingia kwenye
Utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo wangu
Kweli wivu me ninao na roho yangu inaumiaa
Kweli wapenda nao ndo maadui zikitimia!
Lile tunda langu la mara
Leo limekuwa sumu kwangu
Ona tena sina raha me nacheka
Nalia na moyo wangu

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret