Rich Mavoko - Rudi lyrics

[Rich Mavoko - Rudi lyrics]

"Rudi" - Rich Mavoko ft Patoranking

Sauti na tabasamu lako
Ndio linafanya nikukumbuke
Kinachoniumiza mwenzako
Unapolia chozi nsifute mapenzi sidhani mimi
Kilichobaki ni uadui
Kuniona hautamani kwanini?
Kweli maziwa nimegeuka tui nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Upate siku moja uje niona nami nina moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona

Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?)
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?)


Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?)

Sickness Sickness Sickness small me
Well me yes, you are dumping me
In this wicked World
Baby every one needs a company
My heart bleeds for your Love
Girl i bleed for your love
Me, Me can imagine
If u know dey me, what a sad ting
(aaaaaeeeeeh) i cant imagine
You inna me life girl what a sad ting
Nikiwa nawe mwenzako ndo napona
Na nikilala usiku ndotoni nakuona
Ukipata mafua me napa ka homa
I wanna be your Lover
Your friend and your owner

Kwa mawazo silali mama yangu basi rudi ooh
Natamani ulitaje jina langu makusudi ooh
Nami nina Moyo yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina Moyo mama
Upate siku moja uje niona nami nina Moyo
Yapita miaka mingi sijakuona
Nami nina Moyo mama
Ungalisema neno moja ningepona

Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?)
Mwenzako sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ooh sura yangu (Nitaiweka wapi?)
Ama Moyo wangu me (Nitauweka wapi?)
Ooh Moyo wangu (Nitauweka wapi?)

(Wasaaaafi) nimefuta na mabaya yako (ayeeh)
Sikutishi me kinyago wako (ayeeh)
Ninachotamani ni uwepo wako (ayeeh)
Kwenye nafsi upo peke yako (ayeeh)
Please don go (ayaya)
Girl please don go (ayaya)
Please don go (ayaya) world best n Mavoko

Interpretation for


Add Interpretation

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret