Wakadinali, Mastar VK, Boutross - Omoka lyrics

[Wakadinali, Mastar VK, Boutross - Omoka lyrics]

Buda ju nimeomoka nikipita kwa njia ondoka
(ondoka)
Daily naball na mogoka ju nimekafunga
Ka locker (locker)
 Vera anaringa na planyo
Iza joh nimetambua kwamboka
(kwamboka) bado unacheza na bano nipate
Casino mi huchezanga poker (iyee)
Hii pesa imeniweka mbele ndani ya
Gari si weh ni kadere
(kadere) , unaringa na vile uko nyuma
Naeza kutuma nisichafue puma (puma)
Msupa anaitwa auma nilikuslice na nikakauma
(ooh) , kumbe hupendaga chuma alijinice
We hufanya ananuna (nuna)
Ati Vk napenda your swag (swaga) mi baby
Napenda hiyo nyuma
(haga) , Niko na mapesa kwa bag na
Zinaeza kutibu hapo mahali unaumwa (umwa)
Usiku ye hapendangi Giza
(yeah) ndio maana mi hupull up na pizza
(haah) kindom kiwake alafu
Mastaar unanimaliza
Ju shoti napiga ka chweza Buda ju nimeomoka
Na fare silipagi chweza Uber ju nimeomoka
(Omoka)

Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka
(Omoka) na bado ni kweli nakunywa
Madem Buda ju nimeomoka
(Omoka) Buda ju nimeomoka (nimeomoka)
Buda ju nimeomoka
(nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa
Madem Buda ju nimeomoka
(yeah yeah) Swaga ni ngori
Nadunga machain Buda ju nimeomoka
(nimeomoka) na bado ni kweli
Nakunywa madem Buda ju
Nimeomoka (nimeomoka) Buda ju nimeomoka (nimeomoka) Buda ju
Nimeomoka (nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka (yeah yeah yeah yeah ayee)

Mi swagga ni ngori nakunywa madem
We ni upige ithafu uomoke
Toka tupate pia sisi Soko yetu
Tuliwacha kutrap huko kwote
Vile tuna press more kama doom
This end of topic maroaches
This is win and loses Street tunahawk
Tukitake Lots of risks for the bosses
East napumzika fiti Nika nimelala
Jela zote Embakasi rap mi ni mzazi Still
Si ndo huponanga bling zote za wasafi
Mi hulala same ka kitambo Mzee
Mzima provider siwezi kuwa mrazi
Niliambiwa me ni savage Kupanda
Stage na Njumu
Za designer Store zote nina wafuasi
Last victim kwa crime Kitu
Waliona ilikuwa ni mashetani ju tulimkula
Hashtag excellent Ilikuwa perfect timing
Eastlands mahali tunaishi Parents
Wanaburry their kids
Venye madem wako abused in these
Streets hizi Memories zinanipea tease
Promoter alielewa kwa sana Mi huwanga
Mavitu za kupunguza mastress
Naskia show ilikuwa lit Hata
After kuunguza hiyo event

Swagga ni ngori nadunga machain
Buda ju nimeomoka
(Omoka) na bado ni kweli nakunywa
Madem Buda ju nimeomoka
(Omoka) Buda ju nimeomoka (nimeomoka)
Buda ju nimeomoka
(nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa
Madem Buda ju nimeomoka
(yeah yeah) Swaga ni ngori
Nadunga machain Buda ju nimeomoka
(nimeomoka) na bado ni kweli
Nakunywa madem Buda ju
Nimeomoka (nimeomoka) Buda ju nimeomoka (nimeomoka) Buda ju
Nimeomoka (nimeomoka) nasema ni kweli nakunywa madem Buda ju nimeomoka (yeah yeah yeah yeah aye)

Buda jo niliondoka (Ondoka)
Na shawty anadai bakora (Bakora)
Skimbi kumbe ako mboka dem aliniitia wakora
Pull up kejani
Ati ye huchill tu mtu mmoja (Mtu mmoja)
Buda nishashusha toja
Kumbe uko kitchen ndio maboy walitoka
Buda niliporwa mtaa ni noma (Mtaa ni noma)
Bouty ilibidi nimesoma (Soma)
Vile nitalindaga boma (Boma)
Hata ka mi nimekonda
Mi hukula zenye zimenona (Nona)
Nikipata mboka naomoka (Omoka)
Huwezi nipata kwa corolla (Eey)
Buda always niko working Nyi mnacheza
Mi niko kazi eey
Chunga ukitembea mtaani Hapa ni ngori
Maboy wako lurking Eey (maboy wako lucky)
Mi niliachana na jaba Mi
Na mogoka hatupatani eey
Bouty siachani na majani
Hata kama huwezani eey
Ita maboy wa NACADA Vile
Nawasha hizi vichaka eey
Mi ni boy wa Wakanda Sistuki na
Stori Za mboka Mboka mboka eey
(Kama ni ngori)

Mapetco, Ndio bani akibonga nalet go
(Pah pah)
Mateso Mabeast wakora wa ghetto (Shah shah)
Kwa kettle Napika chang'aa ndani
Ya rental Ni mapepo
Snitch alibh akakangwa hadharani kwa
Esto Mi nimeomoka
Pussy niggas wanapenda kuchocha Nakumbuka
Matha akienda kukopa
Hii si riba nilichoka kusota Fuck them
Walibonga mengi Nilipofika baze wakaondoka
Hapa Kenya huku hakuna wera Ka
Unasaka hela mpaka Doha
Na vile maskele hujipa kwa rende
Siku hizi jo mi nimeogopa
Nilibambwa na jenge mangware ju ya
Tire By jioni nilikuwa nimetoka
Alah wakbar, wanabonga mengi wana lack bars
Mi ni donga nyinyi ni marap fans
Simnaona ni nini hardwork does
Toka lini mimi Scar na wack verse
(Eey aah uuh)
Hivyo ndo nahisi Usidhani kuishi
Na ego ni rahisi
Hamjastruggle ka dingo wa maiti
Tulianza juzi nyi mlishindwaga naist
Eeey we can never hype Nikikuona naona
Kijana you are lied to
No wonder ulihandwa walai ju Even you're
Dead brothers never like you
I swear this rappers they know us
Tungewazoza ni vile ilifikaga Mahali we
Needed to grow up
Coz most of my brothers they locked up

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret