Wakadinali, Sir Bwoy - Rude Bwoy lyrics

[Wakadinali, Sir Bwoy - Rude Bwoy lyrics]

It's Mcity Music baby eyuh Chino you again?

Pale Roysambu napiga mahesabu
Za kuwashika shika man a dogy sambu
Za kuwashika man a dogy sambu
Za kuwashika man a dogy sambu
Pale Roysambu napiga mahesabu
Za kuwashika shika man a dogy sambu
Pale Roysambu na, pale Roysambu na
Pale Roysambu na, pale Roysambu na

Rudeboy amerudi na nani
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali
Rudeboy amerudi na nani
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali
Rudeboy amerudi na nani (Wuzu Wuzuuu)
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali
Rudeboy amerudi na nani
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali

Pale Roysambu napiga mahesabu
Za kuwashika shika man a dogy sambu
Za kuwashika man a dogy sambu
Pale Roysambu napiga mahesabu
Za kuwashika shika man a dogy sambu
Pale Roysambu na, pale Roysambu na

Alaa wuzu, wuzu
Man a badman, form za kiwagwan
Munga tisho wangwa utaezana?
Niko na new clarks, products
Bado nina dinga, with your sinyorita naringa
Woi Wuzu, woi wuzu
Mambleina sanya, wasichana kusanya
Wasichana hanya
Sema chali yake nini atafanya
Ndani ndani, okay nikiwa jela eka ata dania
Ndani ndani Buru ndani tuna burudani
Free boychild, free boychild free boychild!
Njege masanse wakwende

Rudeboy amerudi na nani
Arif na kindeng'a ndo formmagizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali
Rudeboy amerudi na nani
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali
Rudeboy amerudi na nani (Wuzu Wuzuuu)
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali
Rudeboy amerudi na nani
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali
Rudeboy amerudi na nani (Wuzu Wuzuuu)
Arif na kindeng'a ndo form magizani rudeboy
Rudeboy, rudeboy eh eh eh eh

Wera iko juu mzanzena wera iko juu mzanzena
Vua mambling kifulana hapa magizani utaitana
Vua mambling kifulana hapa magizani utaitana
Piga mboka kibafana ka kilalo ni ya jana
Mua sana na umekaba cheza sana ni majaba
Kuna nini? Kuna nini jamani
Kuna nini? Kuna nini yeah
Kuna nini? Kuna nini jamani
Kuna nini? Kuna nini yeah
Kuna nini? Kuna nini jamani
Kuna nini? Kuna nini yeah
Kuna nini? Kuna nini jamani
Kuna nini? Kuna nini yeah

Rudeboy amerudi na nani
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali
Rudeboy amerudi na nani
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali
Rudeboy amerudi na nani (Wuzu Wuzuuu)
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali
Rudeboy amerudi na nani
Arif na kindeng'a ndo form magizani
Rudeboy amerudi na nani
Wanaeza tia chuki lakini hatujali

Nipange nikupange nichunge nikuchunge
Nipange nikupange nichunge nikuchunge
Nipange nikupange nichunge nikuchunge
Nipange nikupange nichunge nikuchunge

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret