Wakadinali - Rumours lyrics

[Wakadinali - Rumours lyrics]

Eyo! yo! yo! yo!

Haukuskia rumours haukuskia rumours
Muthurwa kuna Chargie alinyuria
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Afande apo nyuma pia alichaiwa mchuma
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Pesa ya covid hao watiaji auskii wamekula
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Dera ya shawre ndo imetuma Mwangi akatumwa

Substance abuse 24hrs juu ya curfew
Tumechrome ndani ya boot ya whip ya mdabus
Tuko lay (d) back tukiskia akina Taabu
God aitwe God jo kidogo tuingie mbaru
Kila mtu anapiga show Live sai IG
Sue who? Tuko Nairobi izo pelekea YG
Ni gwaash flani na nywele
Shaggy it wasn't me
Me nlipitia kwenu mkafail
Ku acknowledge Rabii
Nabii tangu sixteen, 16s kwa beat
Kwa chief anaku p3 kwa ivo anaku Peace
Kwa street usijoke na si unaeza bleed
Tuko D apo reli Mowlem ya chini
Tunaichimbianga auskii adi mpaka kwa filter
Rende ya bilaa but we tutakuingia Bicham
Mdenge mfisa mahari nililipa
Sai naikinda n'gat kitu niliiwai point tisa

Haukuskia rumours haukuskia rumours
Muthurwa kuna Chargie alinyuria
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Afande apo nyuma pia alichaiwa mchuma
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Pеsa ya covid hao watiaji auskii wamekula
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Dera ya shawre ndo imеtuma Mwangi akatumwa

Tuko na joto so man maintain total
Mangoto kwa mkono ka flexie uto tutoto
Alienda courtko juu ya ngori ndogoo
Master wa keys auskii alibambwa kwa KotKot
Moshi kwa nasal, ati sina moral
Na nyi mnakulana ati oral
Sosi icho kolo, pasishia mukuru
Atii, aache kuwaza na apunguze usoroo
Freestyler aliganda kwa battle flani ya Ondu
Hangover kumwaora unaezadhani Gondu
Vijana wapewe wera na peace ireign Umo tu
Roba alienda ahera juu ya kusnatch note 2
Marapa ka si sijui pia tutaingia COTU
Atuoni, juu ka farmworker analipwanga soo tu
Na Francis Atuoli
Ye udhani watu wako showroom
Na Roho juu nauliza kwani
Doo ya wasanii haitokii?

Haukuskia rumours haukuskia rumours
Muthurwa kuna Chargie alinyuria
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Afande apo nyuma pia alichaiwa mchuma
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Pesa ya covid hao watiaji auskii wamekula
Haukuskia rumours haukuskia rumours
Dera ya shawre ndo imetuma Mwangi akatumwa

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret