Wakadinali - Umoroto lyrics

[Wakadinali - Umoroto lyrics]

Big beats Afriq wuzu hmm yo!

Kama we ni mchizi magames na player
I'm so NY nakaa EA
Mjuniour am breeding hukaa LA
Maasai na amedunga ma-Meerell
Na kutoka SA aliniuzianga makaa LA
Don't bother hii ni Wakadinali
Niite Don Munga Wuzu mi ni nani?
Karao nilimtukana na ni ka Turkana
Nilimbongesha kilami
Munga nawakana mwizi alitagwa
Buru ndani Burudani
Mtoto msichana Hannah Montana
Gwanja na miraa
Niliacha kuzifanya hizo madawa
Ma jaba na miraa
Choma boza Munga ma mchicha
Ati wako nichi wachawi wanajificha
Nimetoka Umoroto kuwajibika
Hata kukinyesha mi hubuy-ia mjuniour ma criba
Balaa baba! Umeshiba?
Na ujue mi silei Osama usiwai enda kuiba
Sanse walikuja na Mazda idhaa
Flani nikikunywa chwada
Za ovyo tu kunihadaa
Ati ju ya handas utalala Mada
Saa hizo niko madawa maduya, mtadu what?
Vitu wanadu tuna boo wanabuya, wanagwaya

Still am living my dream
Nataka Benzo na Bimmer
What you talking nanii?
Naeza kubuy-ia kwa bar na unazima
Kama sikuchoti mamii
Risto za free-ride hakuna
Nani? Ni nani? (Huh) , Ni Wakadinali ririma

Nimetoka Umoroto tena
Kusakia wifey na mjuniour dema (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Nikiingia keja njumu inatepa (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Kusakia wifey na mjuniour dema (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Nikiingia keja njumu inatepa (uh)

Alitaka niingiwe marungu wapi juu
Informer aliua nyungu
Tulimchunguch, nugu tulimuonea 18
Kiu Mungu Mungu
Mkate ikatwe nusu nusu biz legit
Tukiwa mi na Wuzu
Na ni kuuliza tu, BBI Corona inatuhusu?
Hatu-pose hata ka ni kwa picha
Na hatu doze masaa si hupitisha
On toes jo hamwezi tupita
Na mmekimia hamwezi lilisha
Slaves design ya Lupita
12 years Inda ju ya kuiva
Baze usikam ka umepiga
Unaeza rudi jakdes bila
Sija-munch tangu late March
Siwezi fight-ia system corrupt
Na usi-fuss ka huwezi spar
Nchi zingine pia wao ni mraa
Nyako ulimtoa kwa baa
Mali fisa nilianua reserve
Na, of course, tuko na gun
Haimaanishi uingie round ku-snatch
Kuna time nilikuwa kwa crowd na
Kuna time niligeuzwa Stephen
RIP my partner in crime
Alikuwa stoned to death mtaa ju ya wizi
Sai niko exile pon di way
On the road to mtini
RIP my partner in crime
Alikuwa stoned to death mtaa ju ya wizi

Still am living my dream
Nataka Benzo na Bimmer
What you talking nanii?
Naeza kubuy-ia kwa bar na unazima
Kama sikuchoti mamii
Risto za free-ride hakuna
Nani? Ni nani? (Huh) , Ni Wakadinali ririma

Nimetoka Umoroto tena
Kusakia wifey na mjuniour dema (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Nikiingia keja njumu inatepa (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Kusakia wifey na mjuniour dema (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Nikiingia keja njumu inatepa (uh)

For real for real
Yoh, nimetoka keja tena (uh)
Back in the streets ducking
Police nitakuwa mteja tena
Chini matick Patek Philippe
Sijui ningeongezea mbwenya
Huyo mtoto hu-scream ye hupenda hii stick
But ye huwanga shy kusema
Bitch umerudi cyber tena mi Dosh na
Si wa side za Tena
Ah bro bro ashaingia chamber cheki
Hizo side za pienga
Pull up kwa ndae na ndeng'a
Bitch dunga hio M-Pesa tena
Yoh nini inaryhme na error? Oh
Mi siwezi smile na hater
Ukitaka unapewa sahii
Tukitoka ni best I leanse
Hatuzozi na wasee hawasaidii
Eastlands said they know me I said for real
Nina mbogi just me and my G's
Jaza pori ju mi huwanga biz
Slowly slowly I go on man knees you fuck
With my homies you fuck with me (For real)
Mi huwanga lyrical nina ndeng'a I
Had to leave it on new iPhone to write my
Lyrics on Chwadi bugizzy, jaba digital
Macho ni indigo
Drama ni mingi jo mambeina leave me alone
#EASY oh

Still am living my dream
Nataka Benzo na Bimmer
What you talking nanii?
Naeza kubuy-ia kwa bar na unazima
Kama sikuchoti mamii
Risto za free-ride hakuna
Nani? Ni nani? (Huh) , Ni Wakadinali ririma

Nimetoka Umoroto tena
Kusakia wifey na mjuniour dema (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Nikiingia keja njumu inatepa (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Kusakia wifey na mjuniour dema (uh)
Nimetoka Umoroto tena
Nikiingia keja njumu inatepa (uh)

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret