Wakadinali, Mic 1 Eazy - X Bosses lyrics

[Wakadinali, Mic 1 Eazy - X Bosses lyrics]

My X bosses siku hizi wana-call my phone
Siku hizi unaringa sana
My X bosses siku hizi wana-call my phone
Siku hizi unaringa sana

Nakumbuka nikiwa baze time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka nikiwa jaba time flani
Zilikuwanga siku za maajabu

Mama Uhuru sisi ni mahuru na anajua
Hizo game mbaya na tunazijua
Mbunge wa Mhaya ananijua
Sisi huendea stock kukuwe mvua au jua
Pullup kwenye upblocks, boyz ndani ya 44s
Chunga usindunge kwenye portal
Munga unakuja na ma-glock jo
Odi wa Murang’a alikushow
Niko na craving ya kagoks jo
Arif alikatazangwa na mokoro
Kutembea na mimi is a no no
Nili-receive transaction
Ka kitu kadogo US toka kwa morio
Arif ananidrip magoro
Ati Dosh kula hiyo tommorrow
Akili silly siko greasy looking kinda busy
Hii ni hiliki hii ni pilipili hailiki

My X bosses siku hizi wana-call my phone
Siku hizi unaringa sana
My X bosses siku hizi wana-call my phone
Siku hizi unaringa sana

Nakumbuka nikiwa baze time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka nikiwa jaba time flani
Zilikuwanga siku za maajabu

Okay real recognize real
Tukipatana huwanga feeling kinda big deal
Mambo grand kazi kama kawa tena big lit
Iller than most wasee wajawaitisha sick leave
Nikisambaza una-soak
Nikicheki time nishaku 3 nil
Na ka ni approach we tu kam ka unafeel free
Shika maganji tushike madem au tununue mali
Kuishi na regrets kumbuka the
Days utalilia nani now catch me in the Benz
Unadhani ni keroma sikunywi Lejo
Nataka kupiga simu shika phone sikosi kredo
Unasema nimechange ati "Mic Eazy
Uko na mapetho" coz I be my own boss
Nikikumbuka kuishi vi-ghetto
Kumbuka nikiwa alone nikiandika
Hizi flows tutapachika hizi
Shows tutachachisha
Hey everybody getting down in the party
Mambo Grand Wakadinali, Mic 1 got to look

My X bosses siku hizi wana-call my phone
Siku hizi unaringa sana
My X bosses siku hizi wana-call my phone
Siku hizi unaringa sana

Nakumbuka nikiwa baze time flani
Zilikuwanga siku za maajabu
Nakumbuka nikiwa jaba time flani
Zilikuwanga siku za maajabu

Ey siko Nai niko Odhumo
Uh ju ladha huku ilirumo
Bado bado Rong Rende pale Umo
Natoanga usoo nikichomanga Mugumo
Sina was mi sipangii masiku
Msupa ame-catch ju silambagi hiyo kitu
Iwe jua ama mvua sina issue
Wananijua mi nikiwa mabangi ni ma big tune
We si bro we ni nephew
Na kama huamini hii rende ni rong nigga FU
Nakumbuka X bosses wakinitolea stress yote
Mi na hustle excess na si take losses
Unapigwa ‘Shhh’ bare hapa hatu take nonsense
Ushai bambwa na wife anaexpect mtoke?
Bro alimadwa na matha
Alikuwa anamexpect shoke

My X bosses siku hizi wana-call my phone
Siku hizi unaringa sana
My X bosses siku hizi wana-call my phone
Siku hizi unaringa sana

Nakumbuka nikiwa baze time flani
Zilikuwanga siku za maajabu nakumbuka!

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret