Wakadinali - Dilated lyrics

[Wakadinali - Dilated lyrics]

Mikasa leo mabunduki ndio
Zilikuwa zinafanya kazi
Pupupupu, pu pu pu pu, si watu watakufa
Sasa mimi mtu kama mimi sina bunduki
Sina bunduki, na hivyo DCIO
GK wakuje watusaidie

Si hukam na mamacho dilated ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana nguna ana fake accent
Lakini amejaribu ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

Si hukam na mamacho dilated ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana nguna ana fake accent
Lakini amejaribu ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

Napiga lap Nairobi maithaa mbaya
Kama helly ya Covid area code ni maili ya
Saba Android ilipeana mbogi
Kikosi haikosi kusambaa panga
Ukiresist kwa lobby
Shori alitaka namba amezoea kuchimba
Kachimbe fossils walifuatwa kutoka outta
Wakamadwa Kagundo Road Mowlem
Early sato morning Ali
Alishtuka Hessy amemoket
Spider weapon gun imported we una AK 47
Usipatwe ogopa open naskia kuna msako
Baada ni saa 7
Leo tuko ndani ya keja hatutoki
Jeshi iko handas na choki
Mblеina alikuliwa toja, toki
Talker copper na koti jeshi ya Koja
Tuko Tom Mboya unlеss ni bigi missioni
Tourist mwenye aligongwa na
Hawker akatoboka madollar, sorry
Welcome to Nairobi though, chunga pori yoh
Giza kwa corridor arif aligeuziwa na morio
Android ilipigwa tapo chokoch
Alichumia Landies Road
Si uliambiwa ungafu diro
Madam huku hatuko Otedo

Si hukam na mamacho dilated ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana nguna ana fake accent
Lakini amejaribu ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

Si hukam na mamacho dilated ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana nguna ana fake accent
Lakini amejaribu ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

Chuom tunashinda zimecrome na makiller
Anti terror unit si wanajua Munga
Ni pro man a Driller
Tortoise amphibian ni chura
Bony and Clyde tuvamie mashuttle
Ujue ka ulinitusi we ndo fala msee
Juzi nikidandia masacco facebook ni Freemode
Usiongelelee air pros
Kama hujai oganga na Omo ama ujipake Kimbo
Usiniambie about struggle
Tumeosha kuzoza labda uume mboch
Umenyonga monkey na uko lockdown
Mpaka umechoka
Mtaani ni gang run, ukishukiwa ni unyurie
Kuna siku Munga nilitry kutetea msee
Huyu ameshikiwa bure
Fuck it pingu zililand mi
Nikafungwa shoe lace
Kwa kina snitch tulibisha
Anadai angejisqueeze na dirisha
Ngeus alidhani tumechat tangu mchana
Amenikalisha mi nashikisha
Fans KOT wanadai kuskia miracle baby alidare
This is unfair, shori alikujia kuni
After ashakukula fare
Hii raha ina Corona, nmasuti and tie
Mradi koroga na different supplier

Si hukam na mamacho dilated ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana nguna ana fake accent
Lakini amejaribu ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

Si hukam na mamacho dilated ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana nguna ana fake accent
Lakini amejaribu ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

Pullup kwa nduthi, pah pah pah
Of course ni mchana
Victim alikuwaga mrahisi kuonekana
Ju anapenda fashion sana
Mi na ex-boss wangu tulishakosana
Of course nilimsanya
Bro ni Samurai jack akishika panga
Manze ni costume hana
Si guam tumepiga tukisababisha
Mpaka machuja zinatupa
We umekwom na manigga ati kunitisha
Na mi nimekuja na msupa
Kuona maziwa tunafanikisha
Nyama tunakula na mfupa
Ndom naririma, jaba nashikisha
Pombe tunaikunywa kwa chupa
Kukuja mnakuja manze na mi sitatambua
Juzi mbang'a angenisare but
Nilimuuliza malaya unanishika unanijua
Uliza Munga avocado zetu ukifinya unanunua
Napuliza gunga sababu tosha
Nipe Mola hii sifa na dua vibe iko sure
Hii ndo masaa ukinicall niko mteja
Hustahili kuzua
Mi na budako hukunywa busaa na huko Kakamega

Hii kelele iliwalemea
Ndio maana mliamua kuilenga
Kiterere nikiteleza na rende lazima kutesa

Si hukam na mamacho dilated ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana nguna ana fake accent
Lakini amejaribu ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

Si hukam na mamacho dilated ofcouse utaitana
Karao alihate mabro walirelate
Ju mabro marijuana nguna ana fake accent
Lakini amejaribu ka uko na chest pains
Wacha tukujibu tunatibu wivu

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret