Wakadinali - Ekelea Kazi lyrics

[Wakadinali - Ekelea Kazi lyrics]

(BigBeatsAfriq)

ROG, tumeekelea kazi
Tel Aviv, tumeekelea kazi
Umoinner, tumeekelea kazi
Forward, FT, tumeekelea kazi
Aldana, tumeekelea kazi 58, tumeekelea kazi
Embassava, tumeekelea kazi
Mwamba, tumeekelea kazi
Obamana, tumeekelea kazi
Eastern Bypass, tumeekelea kazi
City Hoppa, tumeekelea kazi
Ongataline, tumeekelea kazi
Ngumo, tumeekelea kazi
Nagasaki, tumeekelea kazi
Paradiso, tumeekelea kazi
45, tumeekelea kazi

Uspendi na slayer ndio juu spending ndio dawa
Mchizi wangu ali notice kumpa
Penzi ni blunder
Hata siku hizi cirrhosis ni ugonjwa ya kawa
I'm feeling like Moses juu ya kukatanga waba
Heri unipige maukapi tuki-beef
Usijitie kitanzi
Last mbleina kuni-cross alipass away vi-funny
Alijifanya kubonga shit chini ya mti
Alijiona ye ni nyani ali-die tu kwa scene
Hapakuwa story za hospitali
I hope hamna teresh nasi
Juu si tumetoka East na ni kungori
Hivyo ndio nakueleza mdhii
Ni ngumu hadi kuteleza huskii
'Cause it's either upige tero
Uomoke upige Vanessa Mdee
Kitu mi hupenda sisi ni
Venye hujuanga ku-exploit
So ma-ninja, design ya Dora, tukuwe explorers
Tuna-die once ku-grow Scar aliniachia
Keki jo Dosh mambleina wako mneti na
Wanajifanya hawajai explore
Huku ukicheki fiti tunapoishi
Unapata kumejaa mavi kwa orosho
Hivo hivo, hatujali, tuna make it
Kila terrain, yaani kama Moroko
Mchizi alihepeshwa kwa mob, sema kugoroka
Aliruka down ground floor kutoka kwa ghorofa
Huku ni kutulia upige biz zako safi mwanangu
Uking'ang'ana na pang'ang'a utasota
Day and night, time yoyote kazi
As in, sisi tuko macho, hapa hapana ng'orota
Real badman hadi ma mgaldes wamenoki
Mi hukalia mbao hadi judges wame notice
Hizi ni places maajabu
Ati niaje uko hai na ulifunguliwa kitabu?
Ndole City, tumeekelea kazi
Rong Rende, Wakadinali, tume do?
(Tume do? Tume do?)

Huruma, tumeekelea kazi
Korogocho, tumeekelea kazi
Dandora, tumeekelea kazi
Umoroto, tumeekelea kazi
Kosovo, tumeekelea kazi
Oyole, tumeekelea kazi
Donholm, tumeekelea kazi
Buruburu, tumeekelea kazi
Githare, tumeekelea kazi
K-South, tumeekelea kazi
Ololoo, tumeekelea kazi
Mukuru, tumeekelea kazi
Paipu, tumeekelea kazi
Greenie, tumeekelea kazi tumeekelea kazi
Cabanas, tumeekelea kazi

Mtaitana tukiekelea kazi
Hapo mchana tuliwekelea kazi
Kwa hiyo chama tuliekelea ganji
Walishika Josie, waliwekelea cousin
Ay, zingine tunawachia YESU
Hii ni- hii ni- hii ni kitu tumepandia mbegu
Haki ya nani, si ni funny, hizo tabia zenyu?
Hamtukanji lakini si mna ganji ya venue
Goddamn rende ikiwa Rong, you better run
Shout out to my niggas in the pen
Mama said I should be on their midst
Walisema hatutazoza game
Now we hit the money and the fame
Ay, naeza do wrong but na do right
School ya hard knocks, mi ni alumni
Tuna-roll by when the mood right
Si na new ndai, pale Ruiru ndani
Walidhani mi fala, nipate ganji
Nimpeleke bar halafu nibaki hoi
Naona wakiri, they're scheming, haki mama
They're planning to kill your baby boy
Rende ni Rong, you already know it
I got boys in your hood
And you barely know it
See, we made all these niggas
Who were making noise
See, we keep it stee ka ndani Mwiki-Ruai
So style lazima iwe safi, G
Sijabanjanga na makafiri
Hawa ma-motherfuckers wanakuwanga drama
Wanapanga njama niwe maiti, zi
Nita do kitu kwanza, wapi V
Wanaleta issue, hatutaki
Na ikifanyika East, inabaki East
Si unajuanga fala hubonga mavi

ROG, tumeekelea kazi
Tel Aviv, tumeekelea kazi
Umoinner, tumeekelea kazi
Forward, FT, tumeekelea kazi
Aldana, tumeekelea kazi 58, tumeekelea kazi
Embassava, tumeekelea kazi
Mwamba, tumeekelea kazi
Obamana, tumeekelea kazi
Eastern Bypass, tumeekelea kazi
City Hoppa, tumeekelea kazi
Ongataline, tumeekelea kazi
Ngumo, tumeekelea kazi
Nagasaki, tumeekelea kazi
Paradiso, tumeekelea kazi
45, tumeekelea kazi huruma, tumeekelea kazi
Korogocho, tumeekelea kazi
Dandora, tumeekelea kazi
Umoroto, tumeekelea kazi
Kosovo, tumeekelea kazi
Oyole, tumeekelea kazi
Donholm, tumeekelea kazi
Buruburu, tumeekelea kazi
Githare, tumeekelea kazi
K-South, tumeekelea kazi
Ololoo, tumeekelea kazi
Mukuru, tumeekelea kazi
Paipu, tumeekelea kazi
Greenie, tumeekelea kazi tumeekelea kazi
Cabanas, tumeekelea kazi

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret