Wakadinali - G pin lyrics

[Wakadinali - G pin lyrics]

Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be
Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be

Ulifinywa ukasnitch nigga si tulidhani
We ni G midday tuskii pale YT
Nimekuwa nikigather streams
Si tunamwagika nyi mnadrip
Mkitrip tunawaacha mclean
Around saa tisa na zimelipuka
Suicider ako Eastleigh
Msicut trees kama hauplan kuplant shit
Excuse me miss my name is
Slim na napenda hio slit
Najua ni 6 lakini siwezi mind
Kuingia nawe hizo streets
Still tuingie D tugotee wazing
Tupewe G na Jing
Usilete feelings bruh si hudeal tu na logic
Nina bitch ye hupiga mra'
So ideal for robbing
Utapiniwa kwa hio wall ukimblein
Short ka Sony
Nairobi tunadrill na fuck hao watu hawaoni
Rong G tunafyatuaa tukifuatwa na magagula
Monski drip instead ukimpata mshow namtafta
Naroll viheavy niliuza Mazda sai ni tractor
Niliuza glock nikawashikia short gun

Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be
Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be

Wangapi wako on, hio ni urongo
Na siwezi perform yoh watoe jongo
Front ya Malboro bro na kumbe nauzanga koro
Mpatie mkono incase mnono adandie stoko
Mkoro ako worried naskia hadai
Upatane na Saigon
Bygon si bygon kwanza ka ulicock ia Kanairo
Una mabeshte wangapi wako worth kudie for
Nishai pigwa wembe nikadrop
Kila kitu Kiamaiko
Mpee Flying Horse ukidai kumrusha
Sai ni 4 bado mbao tuanze kuvuva
(4 na Kambao)
Tuko Singapore vile macho tumeshusha
Si hung'ara mtumba swali ni
Moja jiulize mbona nawakunywa

Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be
Niko na wasee wamejipin vitu refu
Kutoka hip mpaka knee
Galdem ako stiff anadai kasee
Tu aitingishe itii
Hapo kwa garden nasuka Eve
Kumbe anapenda sauti ya hiss si tuchill
Behind hio curtain si venye inaseem to be

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret