Wakadinali, Sir Bwoy - Gangster Memes lyrics
[Wakadinali, Sir Bwoy - Gangster Memes lyrics]
Huyo ni nani ni Munga ni mimi
Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
Anaweza mawezere wezere
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster
Ati unabonga gangster na uko na memes
Ooh Dodo, Dosh
Niko sema nilipata missed calls
Mi huzima tenje niko riko hohohoho
Alah! kabisa walichora wali agree nilikwara
Next door neighbour
Alibadilisha simu after Covid wah!
Nategеa teo wangwa street life ni curriculum
Nangojea еxams Munga nimeichambua
Kuna bash kwangu na ako ndethe
Huyo ni nani ni Munga ni mimi
Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
Anaweza mawezere wezere
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster
Ati unabonga gangster na uko na memes
Sa mbona ni, unja ni piga mboka mpka mtaani
Dunga ngithe pesa money
Bonya ugali mpaka maini
Cheza rwimbo cheza chini
Ughaibuni, ughaibuni kwa wahuni
Kuna bash kwangu na ako ndethe
Huyo ni nani ni Munga ni mimi
Cheki huyo mrosh, cheki huyo mresh
Anaweza mawezere wezere
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Unabonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster na uko na memes
Bonga gangster
Ati unabonga gangster na uko na memes
Ahahahaha, aiyayayaya ndo iyo ndo iyo
Leta