Wakadinali, Sir Bwoy - Kuna Siku Youths Wataungana lyrics
[Wakadinali, Sir Bwoy - Kuna Siku Youths Wataungana lyrics]
Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai" haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai" haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
Hata uwe mzito na we ni mtiaji, utachujwa
Ubesh Chege eventually chunga
Alitu-accuse cocro
Tuna-smell kiplani magunga
Ndio tuchokeshe njege, Kibronji aliisunda
Action na pale na bhang
Msanii nimejifichia salasa
Tuwachekeshe, kucheki merit
Tunaseti kuangukia darasa
Kuna watu wa ocha hawawezi ngoja
Doh mpya iwafikiange faster
2020 hawataki trouser kuwararukianga rasa
Tukivunjwa goti
Bila ku-show ka Hussein Machozi
We si player, bali diva
Umekam ku-strike a pose
GTA, Grand Prix, Rong Rende pia ni kikosi
Sky ndae, si wa Hamilton, Valentino Rossi
Naiwasha ndani ya ploti bila ku doze
Wao wanawashwa wakiwa juu
Huko third floor na hatutemei kikohozi
Mi ndio Simba nina Kovu
So ka we ni swara moja
Still we doing flying toilet
Kwa hizo juala mpya
Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai" haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai" haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama
Wataungana (Wataungana, wafanye mambo)
Sifa zote kwa Maulana (RIP kwa Msando)
Niku- nikukazana (Westie to Eastlando)
Wata- wataungana (Wataungana, wafanye mambo)
Wata- wataungana (Wataungana, wafanye mambo)
Sifa zote kwa Maulana (RIP kwa Msando)
Niku- kukazana (Westie to Eastlando)
Wata- wataungana (For real, mmh, noma sana)
Ile design nimeji humble kwako, Baba
Kila inaumanga, Eastlando, hustle nadra
Kinagaubaga nafilisika nayo
Tangu nianze kukufuata, hii feeling sitasahau
Sina makao, ndio maana nimeishi kote
Ka Sila na Paul, milango ziliji-open
Casino za tao, mipango zao ni all same
Nipate, nikose, nisote mpaka nikope
Compe ni shughuli za dunia
Kuwa-show wa-confess ni kupuliza gunia
Kwa wale wote walo kula ma-scar
Hutabaki njaa mpaka siku chura za-fly
Juu ya madawa, vijana wetu wamepagawa
Wasichana wetu, kazi wameshindwa, wanagawa
Mambang'a wanachinjwa, wanagwaya
Jiji na ma banner tukishindangwa na gava
Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai" haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, mtoto wa mama
Haina noma, huna namna
Tuseme "bora uhai" haina maana
Achia noma Maulana
Life kwenye streets kakiumana
Juu kuna siku youths wataungana
Kuna siku youths wataungana
Haina noma, huna namna
Wakadinali, Wakadinali, mtoto wa mama