Wakadinali - Love song lyrics

[Wakadinali - Love song lyrics]

Ride expe ni ya mbaru
Huyo amejaza sana mariamu
Venye amejaza nyuma ni kifaru
Manzi yangu anaserve na anadu
Mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru
Hashtag gain with gang Rong Rende
Nina kijana huko chini anatafutwa na Hessy
Niliambia bro, weh ni sugu
With no fear uliwakulia majuu na ulihepa
Get well soon
Stepper mtu wangu kwani ziliraru?
Get well soon, naskia ulikaangwa
Ukiwa call ya mjuniour wa daycare

Ride expe ni mbaru
Mariamu ni kifaru anaserve
Anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru
Shash ni important
Yut kiombidho manze ukimseti ni za ovyo
Economy ya karao ni mahongo
Learn kumgei hizo mikosi zilet go
Kuzidisha tenants ni waoga
So bunde nikizidisho
Mi hudema Nairobi kwa rentals
Nilidhani ni mavlogger kumbe ni patanisho
Mdem alinireport kwa radio
RIP guka ye ndo alikuwa na mabob ka wailers
Bash alinibuyia rottweiler
Rongboy na sikucheza, wong ni whichever
Tuko broke bila cheddah hepa
Hatari kwenye lango kama
Hatujaknock tuko wera nguna na si freelancer
Anachinjiwa hadi Srilanka
Game za paka na panya hapana
Kachumbari mi huongeza spice hata pasta
Tulipatana na dem ameivisha ameshanyanya
Machaji huku njei ni pastor Ng'ang'a
Ni juzi tu aliivishia mbang'a

Ride expe ni ya mbaru
Huyo amejaza sana mariamu
Venye amejaza nyuma ni kifaru
Manzi yangu anaserve na anadu
Mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru
Hashtag gain with gang Rong Rende
Nina kijana huko chini anatafutwa na Hessy
Niliambia bro we ni sugu
With no fear uliwakulia majuu na ulihepa
Get well soon stepper mtu
Wangu kwani ziliraru
Get well soon naskia ulikaangwa
Ukiwa call ya mjuniour wa daycare
Ride expe ni mbaru
Mariamu ni kifaru anaserve
Anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru

Big up kwa wale watu wote
Wa mkono kuonyesha support
Bicha mjamo si ilifanya hater
Jana akasag mdomo
Kiuna anapreach hakuna ni venye tu
Ako na wafuasi stubborn
Riot Nairo nayo nayo, siwezi enda kwa kina
Navio huwezi niambia juu ya Africanism
Na nyi wote mmebleach
Waya si hukata hatutaki hatutaki
Kuwa associated na snitch
Ukitaka kuloose your sanity marry
Huyo B murder
Drill huyo fala mwenye alikuja na
Dagger kwa vita ya upini
Mtaa walishachoma picha
Tena zile za muhadhara
Naskia wakienda kudare abroad
Na kina Chamwada
Mistake ya kwanza mbleina alifanya
Alikam kimala mala
Anakatia bibi ya badman na
Stra za kuomba namba

Ride expe ni ya mbaru
Huyo amejaza sana mariamu
Venye amejaza nyuma ni kifaru
Manzi yangu anaserve na anadu
Mtaratara ya kuuza ngwai na ni nyaru
Hashtag gain with gang Rong Rende
Nina kijana huko chini anatafutwa na Hessy
Niliambia bro, weh ni sugu
With no fear uliwakulia majuu na ulihepa
Get well soon
Stepper mtu wangu kwani ziliraru
Get well soon, naskia ulikaangwa
Ukiwa call ya mjuniour wa daycare
Ride expe ni mbaru
Mariamu ni kifaru anaserve
Anadu mraa ya kuuza ngwai na ni nyaru

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret