Wakadinali - Mashetani lyrics

[Wakadinali - Mashetani lyrics]

Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali
Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali
Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali
Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali

Jacko kubwa na para natry tu kujificha
Duff mpararo nilikuwa naswim ka mchina
Mchinku sisi mwitu politics
Wanatuweka kwa crisis, tunacry sisi

Ilikuwa ni situation
Si unajua watu hawaelewangi
Ilikuwa ni situation
Si unajua watu hawaelewangi
Ilikuwa ni situation
Si unajua watu hawaelewangi
Ilikuwa ni situation
Si unajua watu hawaelewangi ni situation

Get your education to teach the others
Si life huku ghetto hukuwanga tu hazard
Kuput food on the plate manze jo ni blunder
Tunalive hand to mouth kama rasta na shada
Sikudhani lazima ukuwe na muscle
Ukitaka castle lazma uchape hustle
Big up soldiеr man wake 24 7
365 ukivumilia njeve
Siwеzi doz ka sijaskia risasi
Huku kila siku tunaishi na mikosi
Ati Pinchez na steppa walichai maponyi
Na Maponyi ako wapi? Hizo sides za Doni
After kusota alinitoka right fast
But nikizishika ukinicall na divert
Rap inaflow kwa damu so mi sidai class
Na unaeza ni hire ka bado unadai verse
Then nyi manigga mnakam mki act draft
Ukapi nikichekesha hairudi bila damu
Alafu booth nikispit utadhani nimejam
Mistari zimestick unaeza shikanisha na gum
Die hard soldier mi siplan kureturn
Ju vita ni illest na sina ma kwa gun
Then mi huzipurura mashash mi huziburn
Plus mi hupurura na sijawai tukanwa na fan

Ilikuwa ni situation
Si unajua watu hawaelewangi
Ilikuwa ni situation
Si unajua watu hawaelewangi ni situation
Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali
Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali
Youths how de gwom za umashetani
Ju how often tutafurahia serikali
Youths how de gwom za umashetaniJu
How often tutafurahia serikali

Cheki gava imetarore
Omo ni kidogo mtaani wanalarore
Hakuna waba, wanaijin watoto wazee wanadiore
Mayouth mtaani ju ya mawe
Hanaku wera wamebomore
MCA amehepa ametrrr amejificha ameponeree
Wanafanya napiga mboka chafu ndio nisurvive
Aki walai wanadigi moja naglind hio si fine
Hio si ikae yeah yeah
Boom boom, mr boom boom

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret