Wakadinali - Nyara Nyara lyrics

[Wakadinali - Nyara Nyara lyrics]

Yo free us men
Free us men fuck lockdown
Fuck hating manze for Real
Big beat Afrik wakadinali
Afrvka

Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya
Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima
Liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya

9 Months unatake kudeliver hatukuonei huruma
Huku unless una mimba
Ngwai East imepeleka vijana wengi inda
It's high time Kenya ikuwe legal
Ni heri uangushe kinde CBD njoka
Ako rada ukikojoa atakushika
Mr at least try jo kubehave
Sitaki damu imwagikie my linen T-shirt
Naskia mnanitafuta huh!
Mpaka mnanifuata kwa duka
Stepper mi hukanyaga kubwa
Ukikuja sana hapa pеrhaps utakulwa
Unafaa kujua nani ndo kushuta
Before kunukisha hii mtaa unaweza juta
Mbеpa si hufungia gunga
Hakuna ni Sunday mzae jo amefunga
Mi huflip ka beats za Afrika
Niliwaachia Hiphop siku hizi man a driller
Mabiz za mpini si hupiga
Kwani si ata judge alipardon killer
Splash splash tukifika
Itoka inaspark ma opp wanaitika
Trap trap to saa tisa ni mboka
Nilikuwa hapo hio jogoo ikiwika
Nimeona Subru ikinipita
I think kwa hio rounda scene ilipigwa
Burus iliskika street iliwika
Black alikam akanyambisha
Naskia mi mchafu spitter ni ka mi huandika
Hizo ngoma kwa pipa
Kudus informer though hawakunipata
Nilikuwa na operate na Beaper (Kudus)

Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya
Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima
Liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya

Kuna venye Covid naitii kitumoja
Daily coro 19 nilinona
Cyber ronging in different location
Wolan tunaiduingi normal
Fake kings nazidi kuwawinda
Ka ulidhani hio ilikuwa mechi gwan
Hii ndo dimba peng ni ayela msupuu
Mans na Domani naishi life bila filters
Sina hadi maarifa
Mi nilidhani shore nilikuwa nabonga
Naye Insta ni Risper
Nikihama mi huenda na kamba za nguo
I wish ningekuwa KPLC
Arif alikuwa MCA, Sai ni MP anarepingi Westy
Sikumeet huyo msichana no no
Nilidate hio vagina ndoch una manzi mdechu
Ushaimwanika kwa mneti hapana
I was high in school man a driller
Tangu enzi za Insyder
Nina ndoto ya maziwa mrefu
Inaweza lipa debts zote za Mchina
Watch what you are talking kwa pot
Timeline yako ina TikTok
Nina maboyz Kise huko Ngong
Walipanua riko sai wanamanufacture richot

Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mraa tunairun bila haya
Na gut ni kilalo ya jana
Jokes on you mnatupima
Liars manze hio ni nini mnafanya?
Mavedi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya
Peng ni ayela na gang ilimnyora
Design ya nyara nyara nyara
Mavedi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya
Warazi walipumua fire (Huh)
Exactly niliwadanganya

For Real heri nitokee siwezi kukutusi
Twitter mimi
OCS OCS alisema tupotee na tusiwahi
Rudi mjini
Wananiita Dangote na mi sijui kwanini
Nyong'inyo zangu zinatee
Sivui viatu nikiwa kwako mimi
Tenje ipotee nishakuwa Hoodini
Sanse atokee hii ngwai haizimwi
Mi sinanga Fee bado najiamini
When you see me better hashtag easy
Deep down they wanna be me
Hii mtaa chini ya maji niko na dini
Rhyme Gym Rong Rende ndani ya building
Combine kila rapper Kenya ndio unimake mimi
Wakiniona ni rizla na ganja
Nikishawachoma girimba narambwa
Mama mboga anachezaga na rada
Alinicall akanishow safisha unasakwa
Ju nina niggas waliiba na ALBABA
Pandishaga middle finger kwa media na cover
Vijana walikosa riba na rada
Ilikuwanga ni mchana wakikimbiza mambang'a
Sio easy getting this shilling
Me na bro kitchen we be distilling
Yeah I told you if you see him, you see me
I was not there but it gave you the
Same feeling undercover Google search
Undercover msupa acheze bubu tukifuck
Ka anakanja crew inakam
Wakiletanga ujanja crew inakam kuburn

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret