Wakadinali - Patrol lyrics

[Wakadinali - Patrol lyrics]

Drillers Drillers
Shout out to drillers manze
Man a driller, yo ayo Chino, you again

Kama unajua mkondo, hatufollow exilo
Saa ingine si huingia Molo
Mono stereo hatujali
Si bora tu utu-recordie vocals
Photo moto highlights
Hadi siku hizi wanapause kwa koto
911 wana more calls
Ya mwisho youts walinyuria mokoro
Pa! Pa! Pa!
Manduru si huziskia hatukujua ni wezi
Labda auntie ako nditni anapigwa ki mechi
Life kwa -s ni crazy
Kuna ule underage alipatiwa ukedi
Ready or not, si tukitokea iteni mavedi
Hauskii alifire na akahata
Tukamgeuzia saii ako Langata
- faster mutaratara
Si hatuna time ya mangata
Uongo unakata utaacha kukana naona
Una lugha ya makanga dexter ilimarwa
Sema kukacha kadera alihepa mambang'a

Patrol patrol kwa ndege (Patrol)
Mbaru nataka njo (Yo)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot
(Murder) knock knock knock sato
Ku peep naona DCI pon mi door (Peep peep)

Yo yo, walidhani mi ni John Kiriamiti
Ilikuwa nifungue, but wangenishika
Key chini ya kiti spiliff kwa meza
Hao wasee wakawa-bribe na tenga
Sin ilipigwa sogi alirenga
Black eye hadi anapandisia Rayban
Labda swag ama anaficha radar
Neighbour jana aliniandalia pweza
Dick ndani ya pussy drill hadi rengwa
May back mi sikuwa na pesa saii
Namanifest tu kitu ka Maybach
Daughter ka Laila so ukimcross mangumi
Ngumi ka pay back raruka ka tailor
Area flani - natepwa na ketepa
Na after kuipepeta
Make sure unaambia huyo bitch see you later
Pereka pereka
Unajionanga mzing kumbe we ni hater
Makolo kwa mrenga na kuna
Jeshi imechafua bling hautapenda
Na sijawai ona mkeka tangu
Ramza but Jah ananipenda

Patrol patrol kwa ndege (Patrol)
Mbaru nataka njo (Yo)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot
(Murder) knock knock knock sato
Ku peep naona DCI pon mi door (Peep peep)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot
Patrol patrol kwa ndege (Patrol)
Mbaru nataka njo (Yo)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot
(Murder) knock knock knock sato
Ku peep naona DCI pon mi door (Peep peep)
Wiu wiu wiu, naskia kuna murder ndani ya plot
Patrol patrol kwa ndege wiu wiu wiu
Wiu wiu wiu patrol patrol kwa ndege
Wiu wiu wiu wiu wiu wiu

Interpretation for

Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret