Wakadinali - Pima Poa lyrics

[Wakadinali - Pima Poa lyrics]

Huyu msee anataka kurap hivi? Ai ngumu
Yoh waddup waddup Aress 66
Man Wakadinali again au sio?
Mafans bado mpo? Hatupo Hatujali nini
Kumamaye au sio uh uuuh!

Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru umesota
We pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora

Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru umesota
We pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora

Tuma kakitu hadi ya kutoa acha izo
Msee ashai niondolea eh GOAT
Kutoa hizo matatizo
Johnsaga na mogoka, bob saba ndani ya boxer
My mummzy ni Wabosha
Mi na Maxine kwa taxin naororia
Tripo ni ya Umoja but
Nawamake-ia nuclear program
Nyi ni waoga na Munga
Ndo mganga anawashinda kuroga
Maji ya kuoga, siku hizi nawauzia thao moja
Mi ni topsweeter, Munga mi ni volatile
Rudi salon kaa na wamama, we ni paedophile
Lighter jo ni Kifaru
Chargie akisha roach inferno
Kisha Doch ni ballot, leo duvai ni ngano
Chingri leo ni mano, we ni diva
We ni bro wa Chimano
Hio leave alone, hio ni mfano
Pia kuna bidhaa zenye ni mchina ziti
Zote huwanga round but usicompare-e
Big G na minji
Usiwai compare Di Shiti na Meechie

Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru umеsota
We pima poa, hio price iekе chini
Bro ameng'ora

Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru umesota
We pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora

After scene questioning tulipelekwa precinct
Ata beast anajua happenings ni
Huko mall ya chini work hio mwili ndo upate
Milli' mi natumia akili
Watu wa East-wing lazma ndeng'a really?
Huku down watu wamejam hadi
Wamekuwa trigger happy
Guza madam vizuri kwa club
Ujipate hauna ganji shimo flani ndo inafanya
Mpaka gangster hulali
Buda amejam mabuti mama amegeuzwa
Victim wa waragi
Ana red ID Wanjigi anaeza empty magazine
Assailant asafiri nimeacha mbegu enough
Kwa hii city
Venye mdem hutoa itatake miracle kupata mkidi
Fika poa naskia we hukuwa high
Tu na flight ya Swedish
Si ndo maboyz wahot ingizwa baridi ni
Ka uko kwa pick up
Sky tulipita ona si ni ma stars kwa giza
Tunapenda jako kubwa zile zinaweza tuficha
Supu surwa after mbichwa manze jo zilishika

Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru umesota
We pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora

Pima poa, hii chingri naineed jo kuimochoa
Pima poa, hadi kimonyoski jo ya kutoa
Pima poa, ukiuza mboiyoi Buru umesota
We pima poa, hio price ieke chini
Bro ameng'ora

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret