Wakadinali - Rong Cypher lyrics

[Wakadinali - Rong Cypher lyrics]

Uh, ka hainibambi, hainibambi
Scene tukiipiga, tunaiwacha maridadi
Yo, yo, yo, wanatuita mabani
Kwani tumeshikwa tukaachiliwa mara ngapi? 
(Ay,  ay, ay) rada ni chafu na sisafishi
Hii budget haitoshi, ukikuja kwangu
Naficha dishi
Yeah, yeah, yeah, rende ni chafu
Wachachisha nini? Mi ni ratchet, mtu wangu
Na sababu ni sitaki rafiki
Underground, still superstar, how?
Nafanya mpaka ma rapper wanashtuka style zao
Niko full mzuka, naweza fungua duka side zao
Vile mi husuka, mi ndio sultan
You can find out, uh
Hii ni maji moto, sufuria ya pili
Si tulipewa kikombe
Kitu nyi mlipewa ni pena mbili
Yo, today na-seem sensi, bila sim-simmer
Tuko East na tunashikisha ati
Kushinda Meru mzima

La, la, la, la, la, la, la, Rong Rende
Yo, yo, yo, yo, yo, yo, yo (BigBeatsAfriq)

There’s a jungle out there na
Mi ndio monkey king
Top ah di top kwa kila list
Cheki marking scheme
Nawacheka juu macho zangu
Ziucheki micro things sijawahi ekanga tat
Naogopa ku-run out of skin
Mi hu-work for extra cheese
Ndio nipatie pedi pie
Mistari zile fresh na Rong Rende
Mi si yule mbaya
Studio kit is very fine, wacha ni-verify
Chang'aa kwa jerrycan nikitangazia Behringer
Very fast, nilikwara mafala kuni-derail
Mi vacation CBD, nyi endeni Ole Sereni
Yaani ile gwas
Yaani mithili ya electric train
I took a step yet again on enemy terrain
Mi hubeba stock ya mwezi yote
Huwezi nipata na plug, kando shokde
Vela ilidunda, ah, ikabaki nirokote
Juu sisi ukiwakisha kama Catholic
Church candles zote
Sisi tuko on, tukuwe high
Twende heaven kama monk
Hawanoni na wako lunch 24 7 kama thong
Ninalangi fake, leo ninataka blunt
Hapana bong tunazidu both kwa kolo kwa kiko
Kill mpaka local unless you're an asshole
Huku zetu nikuhesabu maweng’
Ambia Arsenal, tuliachia Abu mayengs
Babu wa Swaleh, I'd rather
Die only in exile, niende away

Rong Rende, man, unajua (yeah, yeah)
It's the Rong (Uh)
Rong always, know what I'm saying?
Uh, tuko mavitu, poleni
Uliza maswali, tuna majibu already
Na kila mahali ni kuharibu, zoeni
Bonga ukiwa mbali, ukiwa karibu komeni
Na-give thanks kila siku, ombeni
Ni fitness juu ya instru, zoezi
Na kwa ma hater, bado beef-u ndio ngeli
Huwanga ninatesa, ka una issue, bongeni
Ain't nobody that can do shit like me
Best in the game and the shoes fit nicely
You dissed my name, I took it lightly
Mi si kama nyinyi, sinanga chuki na life, G
Nataka shamba huko Nanyuki na wife
Lakini bado naandamwa na ma-groupie, hawaishi
Nina furaha, mi nadu shit na-like
Wewe bado unang'ang'ana kunitusi kwa IG
Wako, Ketepa wameshindilia mafumbo
Buda, peleka hiyo injili yako huko
Msupa wako ananipigia pigia
Nikiishika, nitaipiga, ataisikilia kwa tumbo
Naeza pata nikose my nigga, who knows?
Nai mpaka la Coste, nawapa full dose
Uh, whatever happen, let it happen
Mimi ndio mtoto alipewanga wembe akai-sharpen
Ay, I really think y’all misplaced
I work hard, I don’t sleep, I got no weekends
Uh, it’s fucked up, I see no one cares
So sad, man, I even drink more these days
Bro, we was fine until the money came
It’s always a wrong time, fam
Nothing changed
Na kwa matothi I’ve been warning them
Usidhani hii maombi yetu itakuwa all in vain
Uh, na ka una ngori, enda studio na uni-diss
Nani uli marry game
Ndio maana imeshinda iki-miscarry
Such a shame, kuna mahaga wana-kiss
Haki siwezi pigia binadamu magoti
Mi sio Kriss Darlin
Juu kila siku niko hustle, nikisaka sipati
I'm just a person
Hata hii mziki naweza achia katikati
Cheki mpasho, siku hizi ni kiki wanatafuta
Si ganji
Wengine ni passion, wengi ni fashion
Mimi kwangu ni kazi
Uh, nikikam, ninakam fiti
Keg kwa drum na jaba ya 150
Niko mangwai, jo, na madem wa rival
Mikono kwa Bible nikiwakumbusha hawanitishi
Deep CBD but you can't find we
Uh, si hudishi ki-G, hapa hunawi
Uh, maze, mi si-give in juu mi hukawia
Buda, boss, hii si bidii, hii ni uchawi

Mix ya mahindi maharagwe
Si huwekanga dhania ndani
Hakuna beef, Indian Maharaj
Unaweza dhania Gandhi
Mna gwaya Rong Rende imekwisha, jikita kambi
Hakika, nasikia paranoia ndio utamu ya bhangi
Hii ni kwa mbok haifai
Rong Rende ndio umesahau, usi-deny
Si ndio mambuzi, GOATs
Nawacheki wanagwaya waki-hide
Hii upuzi nime-retire, Uzi nime-hire
Light up kush tumedi high
Hii ni ma ya kutesa lolo, gitamuri tumeamua
Yo without any choice alijipata kwa
Geri mtaani bila kujua, bro
Pitisha hio ngwai pahali
Tunaenda tuanze kuzama
Arif ni mtoto wa sheriff
Anatafutwa na askari, aligeuka Iscariot
Yo, hata malaya akilala analipwa
Nasikia ka imetoka shamba
Lele ikilala inalika
Basi sikiza, mjango, uki-joke utakulwa
Mad Munga anaishi kwa jungle George atanyuria
Kibronj alienda sumandawo kwa
Payroll juu mkosi kwa kikosi na ni kocha
Moral ni AK yao, ye hu-carry mpini na haitosi
We ukija, kam pia na Trisha, we nakushow
Mlete na ni dos
Hot shit kutoka East, ni hii rende, Ronga
Na ni boss

Interpretation for


Add Interpretation

Add extended interpretation

If you know what the artist is talking about, can read between the lines, and know the history of the song, you can add interpretation to the lyrics. After checking by our editors, we will add it as the official interpretation of the song!

Latest added interpretations to lyrics

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Interpret