Zuchu - Hasara lirik lagu (lyrics)
[Zuchu - Hasara lirik lagu lyrics]
Mhh Mhhhh haaaah
Mi Staki Tuongee
Moyoni Nna Machungu Machungu
Nsije Tenda Dhambi Mhh ila Chozi La Mnyonge
Malipo Ni Kwa MUNGU Kwa MUNGU
Bora Nihame Kambi mmhh Mhh
Kama Subira Ina Mwisho ina Mwisho Wake Manaa
Asali Umeimaliza Mzinga ukanifanya Tahira
Suluhisho Nimeona Kwako Hamnaa
Moyo Wangu Si Wa Mninga Najitoa
Tunagombana Kwa Vitu Vidogo
Kosa Si Kosa Unageuka Mbogo huna Dogo Wewe
Hunipendi Unang’ong’a Kisogo
Punda Siendi Eti Bila Magongo
Mpenda Zogo Wewe
Kukupenda Tenaa Sitakii nimekomaaah Sitakii
Kukuonaa Sitakii mhhh
Narudia Tena Sitakii kukuonaa Sitakii
Nimekoma Sitakii
Bora Nihesabu Kua Penzi Nimepata
Hasara Haa Ooh Hasara! Hasara Haa
Hasara Hasara
Hasara Roo Penzi Limekwenda Zake
Hasara Haa (Hasaranii) hasara Haa (Hasarani)
Hasaraa Hasaraa
Kina Cha Mmaji Matitu
Ukaniacha Bila Boya Nijifie kosa Langu Nini
Mchana Nauona Ka Usiku
Nachacha Nyie Maumivu Muyasikiee
Yasiwakutenii hiiiiiiih!
Na Kama Halbadirii Ya Mbayana Umeniumbua
Umeniadhiri Umeniacha Mnyama Na
Nguo Uumenivua
Kukupenda Tenaa Sitakii nimekomaaah Sitakii
Kukuonaa Sitakii mhhh
Narudia Tena Sitakii kukuonaa Sitakii
Nimekoma Sitakii heeeee
Bora Nihesabu Tu Kama Nimepata
Hasara Haa (Ooh Hasaraa)
Hasaraa Haa (Hii Hasaraa) hasara Hasaraa
Hasara Roo Penzi Limekwenda Zake
Hasara Haa (Hasaranii) hasara Haa (Hasarani)
Hasaraa Hasaraa
Kamix Lizer heeee Ahhh Ahaa Haha
A-a-a-h Haa Ha Haha aaah Haha Ha Ha A-a-a-h
Bora Nibaki Naliaa haaa Haha Ha (Heeee Ahhh)
Haaa Hahaa (Noo No Noo No Nono) mhhh Mhhh