Zuchu - Nyumba Ndogo lirik lagu (lyrics)

[Zuchu - Nyumba Ndogo lirik lagu lyrics]

Ooh Nkupe Taarifa Mwenzangu Uuh Uuh
Yamenifika Kwa Koo
We Mwanamke Mwenzangu Uuuh Uuh
Sema Oooh Oh Oh Nkupe
Taarifa Mwenzangu Uuh Uuh yamenifika Kwa Koo
We Mwanamke Mwenzangu Uuh Uuh
Bwanako Analalamika Kila Akija Nyumbani
Eti Hujui Kupika Kula Kwako Hatamani
Kwangu Kalipenda Tembele Toto Lainy Lainy
Shoga Umenyimwa Upole Tajiri Wa Kisiranii
Na Samahanii Samahani
Mwanzoni Sikujitambulisha Mimi Nanii
Mie Ndo Mke Mwenzio AKA Nyumba Ndogo
Tena Nimemganda Mumeo Kama Kichwa Na Kisogo

Aah Sina Ubayaa Sina Ubaya Nawee
Aah Ukinichukiaaa Wanionea Buree
Ahh Sina Ubaya Sina Ubaya Nawee
Mke Mwenza Ukichukiaa Wanionea Buree
Oo Sina Ubayaa Sina Ubaya Nawee
Ukinichukiaaa Wanionea Buree

Nasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni
Mke Mwenza Unanifaa Mie Nikiwa Mwezini
Kwangu Haiwezekani Kwako Bwana Anakaa
Mambo Kusaidiana Wala Usihuzunike
Sikuhizi Kusharе Mabwana Ndo
Fasheni Kwa Wanawake
Eeh Jitahidi Chunga Sana Mwеnzangu Usiachike

Aah Sina Ubayaa Sina Ubaya Nawee
Aah Ukinichukiaaa Wanionea Buree
Ahh Sina Ubaya Sina Ubaya Nawee
Mke Mwenza Ukichukiaa Wanionea Buree
Oo Sina Ubayaa Sina Ubaya Nawee
Ukinichukiaaa Wanionea Buree

Twendee Nache Nache Nache Nache Nache
Huu Mchezo Wa Kichina Zungusha Kiuno Chako
We Kichina Zungusha Kiuno Chako
Kama Shepu Huna Pambana Na Hali Yako
Kama Huna Pambana Na Hali Yako
Nasema Masha Zungusha We Zungusha
Sasa Wanjara Zungusha We Zungusha
Khadija Kopa Zungusha We Zungusha
Mama Dangote Zungusha We Zungusha Mamaa
Ha ha haha AAAA AAAA AAAA
We Kama Mzuka Umepanda Twende Mpaka Chini
Eti Nani Sijamtaja Aje Acheze Na Mimi
Na Kama Mzuka Umepanda Twende Mpaka Chini
Eti Nani Sijamtaja Aje Acheze Na Mimi
Twende Changamkeni Changamkeni Changamkeni
Apo Kati Changamkeni Changamkeni Changamkeni
Na Kulia Changamkeni Changamkeni Changamkeni
Kushoto Changamkeni Changamkeni Changamkeni
Mamaaaaa Haaaa
Twende Nache Nache Nache Nache Nacheza Aah
Nasema Aii Mama Aii Mama
Aii Mama Aii Mama Weee
Andaa Besee Andaa Besee
Andaa Besee Andaa Besee Twende
Mama Andaa Besee Andaa Besee
Andaa Bese Andaa Bese Twende
Utajijua Mwenyewe Utajijua Mwenyewe
Utajijua Mwenyewe Utajijua Mwenyewe

Interpretasi untuk


Tambahkan Interpretasi

Tambahkan interpretasi yang diperluas

Jika anda tahu apa yang dinyanyikan oleh pemain, anda dapat membaca "di antara baris" dan mengetahui sejarah lagu, anda dapat menambahkan interpretasi teks. Setelah memeriksa oleh editor kami, kami akan menambahkannya sebagai interpretasi resmi lagu!

Interpretasi tambahan terbaru untuk lirik

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Menafsirkan