Zuchu - Kwaru lirik lagu (lyrics)
[Zuchu - Kwaru lirik lagu lyrics]
Ah roho Ingekua Na Macho Ungejionea
Moyo Haufanyi Kificho Ukigotea
Mimi Kipi Nisonacho Ungeongea
Mwili Wangu Rochorocho Nanyong’onyea
Chungu Nilichopika wamepakua Wenzangu
Huruma Napukutishwa wamechukua Tonge Langu
Na Kitabu Chetu Cha Mapenzi
Kurasa Umeichanachana hazisomeki Tena Tenzi
Zimepoteza Maana
Mpofu Moyo Wangu ulishindwa Ona
Hukuandikwa Wakwangu limenikaba Nalitema
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Kachukua Kisoda Ana Ukwangua
Kwaru Kwakwaru Kwaru moyo Wangu Unaumia
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Ah! Ye Kwa Nguvu Ana Ukwarua
Kwaru Kwakwaru Kwaru jamani Moyo Wangu
Unaumia
Eh langu Tatizo
Nachunda Najimaliza mi Nakesha Kumuwaza
Naweweseka Lake Jina (Ooh Jina)
Oh! Basi Kwa Unyonge najikaza Niache Kulia
Mana Kwake Bahati Sina (Ooh Sina)
Maumivu Ameipora Furaha Yangu
Ooh Amekwenda Nayo na Zangu Mbivu Zimeniozea
Mmh Hasara Kwangu oooh Oh! Yatajwisha Nayoo
Mpofu Moyo Wangu ulishindwa Ona
Hukuandikwa Wakwangu limenikaba Nalitema
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Kachukua Kisoda Ana Ukwangua
Kwaru Kwakwaru Kwaru moyo Wangu Unaumia
Kwaru Kwakwaru Kwaru
Ah! Ye Kwa Nguvu Ana Ukwarua
Kwaru Kwakwaru Kwaru jamani Moyo Wangu
Unaumia