Zuchu - Nisamehe lirik lagu (lyrics)

[Zuchu - Nisamehe lirik lagu lyrics]

Kukuhini Kusiokwisha kumeangukia Pemani
Roho Yanidadarika kashantoka Shetwani
Nimeumbiwa Makosa mwanadamu Na Mimi
Moyo Umekunja Ndita nakumiss Jamani

Ngumu Safari nlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh!
Ukakosa Seat mmiliki Gari Lako Mwenyewe Eh!
Nikajiveka Mashati
Nikajiona Me Ndo Mie Eeeh Eh!
Kweli Mbaya Halisi na Wema Hakosi Eeeh Eh!

Nisamehe Nisamehe nisamehe Nisamehe

Eeeh! Chozi Dibwidibwi
Nachanganyikiwa na Vilio Sishikiki
Niko Magharibi lizamapo Jua
Wewe Upo Mashariki zawadi Vipochi
Vijuisi Vipipi nazimiss Chocolate
Nimekoma Dear nilivyonyongea
Huba Zako Sizipati tabibu
Kunikomesha Umepata toto la Kitanga


Sababu umeichoka Jeuri Yangu
Ya Kipemba lile Gubu
Limeniisha Kabisa baby Hali Nanga
Aibu wananicheka Wajinga
Rudi Nakuomba

Ngumu Safari nlifanya Njiani Ushukie Eeh Eh!
Ukakosa Seat
Mmiliki Gari Lako Mwenyewe Eeh Eh!
Nikajiveka Mashati
Nikajiona Me Ndo Mie Eeeh Eh!
Kweli Mbaya Halisi na Wema Hakosi Eeeh Eh!

Nisamehe Nisamehe nisamehe Nisamehe

Eeeh! Nikikaa Nawazaa
Nimuingie Kwa Style Gani nimlilie
Niseme Nna Mimba kasahau Tshirt Nyumbaani
Nashindwa Kujizuia
Uvumilivu Unanishinda Kwanini
Nikimpigia Kusudi Zake na Akipokea
Eti Haloo Wewe Nani? Iiiiih! Iiiih!
Na Namba Kakupa Nani? Mara Oooh Kumbe Wewe
Unafanya Issue Gani? Siku Hiziiiii Iiih!
Me Msanii Anajua ina Maana Hanioni?
Kwenye Tv Iiiih! Aah! Aih Wewe!
Aah! Aih Wewe!

Interpretasi untuk


Tambahkan Interpretasi

A B C D E F G H I J K L M N O P Q R S T U V W X Y Z #
Menafsirkan